Nauza vioo vya nyuma au mifuniko ya Samsung Galaxy S10+ sh. 20,000/-. Mbezi DSM. Piga 0699204785.
Maelezo ya Kioo cha Nyuma cha Samsung Galaxy S10+:
Materiali ya Kioo cha Nyuma ni ya wa aluminium iliyosindikwa kwa 100%. Hata hivyo, ili kuwezesha wireless charging na kuzuia interference ya mawimbi, Samsung imefunika kioo cha nyuma kwa bio-resin, aina ya plastiki inayofanana na muonekano wa metali.
Muonekano na Rangi ya mifuniko yetu ya Samsung Galaxy S10+ kwasasa inapatikana kwa rangi ya Just Black
Hivyo, ni muhimu kutumia kifuniko cha simu (kava la simu) ili kulinda dhidi ya mikwaruzo na athari nyingine.

Maoni
Chapisha Maoni
Wasiliana na kwa namba +255699204785 au tumia sehemu hii kuandika maoni yako